julaibibi JF-Expert Member Joined Jun 16, 2020 Posts 3,081 Reaction score 4,224 May 23, 2024 #1 Nipo nafatilia ziara ya Mkuu wa mkoa Arusha. Hii style ya kusikiliza kero majembe mengine ni Ali Hapi, Sabaya na Kasim Majaliwa. Aisee hawa jamaa wanaziweza.mtu mwingine kama huna kismati cha uongozi usijaribu. Naenjoy Arusha now ziara
Nipo nafatilia ziara ya Mkuu wa mkoa Arusha. Hii style ya kusikiliza kero majembe mengine ni Ali Hapi, Sabaya na Kasim Majaliwa. Aisee hawa jamaa wanaziweza.mtu mwingine kama huna kismati cha uongozi usijaribu. Naenjoy Arusha now ziara