Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alifunga?
Alitoa japo assist?
Au ndiyo yale ya kufurahi ukipiga picha na Rais ilhali hupati kitu.
Kama hujui hata senegal alikuwa anacheza na nani basi wewe sio mtu wa mpira ,wewe ni shabiki oya oya also known as andazi,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Basi unhesema hata Senegal wamecheza na nani?
Umekirupuka tu
YesYaani mchezaji kucheza tu kwenye timu yake ya Taifa, tayari kwa mashabiki wa simba ni mafanikio makubwa kwao!
Hayo macho au vidonda..timu gani imefungwaTimu imefungwa Kamba 4 unasemaje Sakho kakiwasha?
Aliye kiwasha ni Vini JR bhana...[emoji23][emoji23]
Kama umeingia dakika ya 80 halafu huja create chance, huja assist wala huja funga bao huwezi kusema "UMEKIWASHA"
Nimecheka kifala sana.
Siyo kucheza tu..hata kuitwa tu na akaongeza idadi kwenye mazoezi ni mchango mkubwa sana..unaangalia na nchi gani ameitwa na....Yaani mchezaji kucheza tu kwenye timu yake ya Taifa, tayari kwa mashabiki wa simba ni mafanikio makubwa kwao!
Na akifunga watasema hakufunga hatitiriki.Huna akili,
Alipokosa kucheza kabisa mlifungua nyuzi hapa ameenda kutalii,leo kapata nafasi ya kucheza mnataka afunge[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnahangaika kama wanawake malaya
Kama sio mtu wa mpira jitahidi ujikite huko jikoni kuosha vyombo na kama ikiingia jf basi nenda kwenye zile mada za udaku.Alifunga?
Alitoa japo assist?
Au ndiyo yale ya kufurahi ukipiga picha na Rais ilhali hupati kitu.
Waulize mayele kafunga ngapi na amecheza zaidi ya dakika 65Huna akili,
Alipokosa kucheza kabisa mlifungua nyuzi hapa ameenda kutalii,leo kapata nafasi ya kucheza mnataka afunge[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnahangaika kama wanawake malaya