Papy Tex: Msanii mwenye sauti ya dhahabu ambaye muda wote alijificha kwenye kivuli cha Pepe Kale

Ila kiukweli hapa sio kwamba Pepe alichemsha.....hivi Bileku na Pappy nani alikuwa mkubwa kikazi?...au kwa kuwa Pappy hakuwa na asili ya Congo?.
Kikazi Papy alikua mkubwa kwa Bileku japokuwa Bileku nae kitambo ndani ya Empire ila hampati Papy coz Papy ni co-founder wa Empire. Bileku yeye alijiunga na bendi akiwa na miaka 15 mwaka 1980.

Mimi nadhani Pepe alikua sahihi kutaka kumuachia bendi Bileku kwa sababu alikua mtu wa kujituma sana mbali na kipaji tofauti na Papy ambaye kipaji kiliongea zaidi na hakuwa na talanta ya uongozi.
 

Kuna wimbo mmoja unaitwa mupenzi bupe ameimba kwa kiswahili daah alitendea kazi lugha hadhimu ya kiswahili
 
Salute hapa Pikinikee Chuga Chingaa Salute kwake......abilengex2
 
Mukulu salute...

Genta muzee ya Kijito Nyama Mukuyechuku LIMELUMA
 
Dj shusha masasee juu ya darii ...nasema Darikimokoooo
 
Aisee Papy Tex pia kaimba kanda ya nini, kaliki na nyingine nimesahau ana sauti nzuri sana,
Unaambiwa Pepe Kalle alikua mzalendo kwa nchi yake hata kipindi cha vita hakuwahi kwenda kuishi nje ya nchi...
 
Mkuu kama una ngoma ya Moyibi weka hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…