Papy Tex: Msanii mwenye sauti ya dhahabu ambaye muda wote alijificha kwenye kivuli cha Pepe Kale

Mungu Akubariki ndugu yangu. Kama una zingine hizi classic za wanamuziki wengine wa Kongo ziweke ndugu yangu 🙏🏿
 
Dah! Ila vijana wa zamani tulifaidi sana nyimbo za Rhumba, Soukouss na Bolingo kutoka kwa ndugu zetu Wacongoman. Enzi hizo video ndiyo zilikuwa habari ya mjini.
 
Kuna mdau hapo juu amesema hakuwa na muda wa ku manage wanamuziki labda ndiyo sababu Pepe kumpa uongozi Bileku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…