ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Mkuu mbona inaeleweka. We unalinunua likiwa limeshaanza kuiva na wauzaji wanafanana yakiwa mabichi na yanaivia pale kwake kwani Parachichi ni "CLIMACTERIC FRUIT "Kuna matunda yananishangaza mfano parachichi ukisema ulinunue jioni usipolila ukilala Tu ukiamka kesho lishaanza kuoza weusi kwa ndani ila yakae pale kwa muuzaji hata kama limeiva ananunua mzigo wa kutosha na yanakaa Tu kwa masiku kadhaa huwa wanayatunzaje?