Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
1. Harmonize anaonyesha ishara za lugha za matusi hadharani hasa zikiwadhalilisha wanawake na mashabiki wanazishangalia, jambo la kushangaza mpaka sasa sio LHRC, TAMWA, BASATA, TFF au taasisi nyingine yoyote iliyokemea na kulaani vitendo hivyo.
2. Kingereza kibovu mno katika platform ambayo huenda ileinda kimataifa, mfano Harmonize "Azizi I want you to promise people you can not leave this club after three years". Kuna mtangazaji naye nilimsikia alikuwa anateseka mno na Kingereza cha kubabaisha, bora wangejikita tu na Kiswahili huku wanatumia mkalimani.
3.GSM ni Yanga na Yanga ni GSM,
4.Siasa za uchawa kwa utawala hazikukosekana kama kawaida.
5. Vijembe na mipasho kwa timu ya Simba