Huku nilipo, mashabiki wote wa Simba wanabubujikwa tu na machozi ya furaha, baada tu ya kulishuhudia hilo gwaride kupitia vyombo mbalimbali vya habari.
Mayele ye akae tu huko Misri na msongo wa mawazo alidhani ye ni mkubwa kuliko Yanga !
Huyo Feikubwa nae saa hizi roho inamuuma sana anatamani anagakekuwa kwa wananchi lakini too late !