Paredi la Yanga lazua gumzo Uingereza

Paredi la Yanga lazua gumzo Uingereza

Paredi la Yanga halijaistua tu Africa Bali dunia yote imetikisika mitandaoni kote ....ni Yanga tu

Vituo vikubwa vya habari vyaliongelea hili tukio la wananchi

Hizi ni baadhi Comments za waingereza Baada ya kushtuka nyomi la Yanga kuwazidi Manchester city

Makolo najua ngeli inawapiga chengaView attachment 3001759
Mwingereza anaitwa chioke

Teh teh
 
Back
Top Bottom