Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Aliyewahi kuwa mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso amesema lengo la chama cha siasa ni kushika dola kupitia uchaguzi hivyo inapotokea chama kikasusia anadai chama hicho hakifai.
"kama tunavyofahamu malengo makuu ya chama cha siasa ni kushiriki uchaguzi ili kuweza kushika dola lakini inapotokea chama cha siasa kinasusa na kuingia mitini chama hiko hakifai" amesema Paresso.