GE2025 Paresso: Samia ameonesha jitihada kubwa za kupambana na maadui wakubwa wa nchi hii ambao ni maradhi, ujinga na umasikini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Kuna wakati hawa Wanasiasa wanatakiwa kuchuja maneno kuhusu mambo wanayoyanadi kwa wananchi kabla ya kukurupuka na kuropoka vitu ambavyo kiuhalisia wananchi tunajua na tunaviona

Kama ni umasikini ni tatizo kubwa kwenye familia na imeongezeka kwa awamu hii ya uongozi ambapo deni la Taifa pia limeongezek maradufu.

Lakini mtu anasimama anasema Samia kapambana na umasikini labda kwao binafsi maana wanapata posho

Ingekuwa amepambana na umasikini saivi kila msanii asingekuwa chawa wa CCM maana kinachowapeleka kule ni njaa na si vinginevyo

haya kapambana na Ujinga, ujinga gani wakati Machawa wanazidi kuongezeka nchini na wengine wanadiliki kutaka nyadhifa kuongoza watanzania

Sijawai kusikia huyu Paresso akiongea Mantiki hata siku moja

-------------

Chanzo: Jambo TV​

"Dkt. Samia Suluhu Hassan ameonesha jitihada kubwa za kupambana na maadui wakubwa wa nchi hii ambao ni maradhi, ujinga na umaskini."

Hayo ameyasema Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni mbunge mstaafu wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso Septemba 15, 2025 akiwa Hanang mkoani Manyara akimnadi na kumuombea kura mgombea Urais wa CCM Samia Suluhu Hassan

Ameeleza katika kupambana na Maradhi amejenga Hospitali, Zahanati na vituo vya Afya katika kila Wilaya nchini.

Kwenye kupambana na ujinga Dkt. Samia amejenga shule za msingi 19,780, amejenga vyuo vya ufundi, na kuongeza bajeti ya mikopo ya wanafunzi elimu ya juu kutoka bilioni 464 hadi kufikia bilioni 786.

Katika kupambana na umaskini Paresso ameeleza kuwa ndani ya miaka minne hii jumla ya ajira rasmi na zisizo rasmi zilizozalishwa ni 8,084,203 ambazo ni kutokana na uongozi mahiri wa Rais Samia

Amesisitiza kuwa Rais Samia alizingatia kufanya kazi kwa bidii badala ya kupambana na wapinzani.

"hakupambana na wapiga kelele kwenye mitandao hakupambana na wale marafiki zangu walioweka mpira kwapani wanasema 'no reform' akapambana na hoja zinazowakabili Watanzania" amesema Paresso
 
View attachment 3473360

Hata kusifia kila kitu ili uonekane ni uzalendo ni ujinga!! So maradhi hayo yanazidi kushamiri!!!
 
Unauzaje mgodi wa makaa ya mawe kama mali yako binafsi??? Tena bei ya nyanya kabisa billioni 5 rasilimali za watanzania
Nendeni mkatafute mteja wa mlima kilimanjaro maana nasikia pia ni deal liko kwenye faili
 
Yaani
Kuna wakati hawa Wanasiasa wanatakiwa kuchuja maneno kuhusu mambo wanayoyanadi kwa wananchi kabla ya kukurupuka na kuropoka vitu ambavyo kiuhalisia wananchi tunajua na tunaviona

Kama ni umasikini ni tatizo kubwa kwenye familia na imeongezeka kwa awamu hii ya uongozi ambapo deni la Taifa pia limeongezek maradufu.

Lakini mtu anasimama anasema Samia kapambana na umasikini labda kwao binafsi maana wanapata posho

Ingekuwa amepambana na umasikini saivi kila msanii asingekuwa chawa wa CCM maana kinachowapeleka kule ni njaa na si vinginevyo

haya kapambana na Ujinga, ujinga gani wakati Machawa wanazidi kuongezeka nchini na wengine wanadiliki kutaka nyadhifa kuongoza watanzania

Sijawai kusikia huyu Paresso akiongea Mantiki hata siku moja

-------------

View attachment 3473360
Chanzo: Jambo TV​

"Dkt. Samia Suluhu Hassan ameonesha jitihada kubwa za kupambana na maadui wakubwa wa nchi hii ambao ni maradhi, ujinga na umaskini."

Hayo ameyasema Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni mbunge mstaafu wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso Septemba 15, 2025 akiwa Hanang mkoani Manyara akimnadi na kumuombea kura mgombea Urais wa CCM Samia Suluhu Hassan

Ameeleza katika kupambana na Maradhi amejenga Hospitali, Zahanati na vituo vya Afya katika kila Wilaya nchini.

Kwenye kupambana na ujinga Dkt. Samia amejenga shule za msingi 19,780, amejenga vyuo vya ufundi, na kuongeza bajeti ya mikopo ya wanafunzi elimu ya juu kutoka bilioni 464 hadi kufikia bilioni 786.

Katika kupambana na umaskini Paresso ameeleza kuwa ndani ya miaka minne hii jumla ya ajira rasmi na zisizo rasmi zilizozalishwa ni 8,084,203 ambazo ni kutokana na uongozi mahiri wa Rais Samia

Amesisitiza kuwa Rais Samia alizingatia kufanya kazi kwa bidii badala ya kupambana na wapinzani.

"hakupambana na wapiga kelele kwenye mitandao hakupambana na wale marafiki zangu walioweka mpira kwapani wanasema 'no reform' akapambana na hoja zinazowakabili Watanzania" amesema Paresso
Yaani nyie chawa mnashangaza sana, mama yenu kawatuma TCRA wafungie Jamiiforum kisa kipindi hiki ni uchaguzi. Halafu mnashinda jamii forum kwa vpn zenu kuongelea habari za uchaguzi. Hizo ni akili kweli!
 
Kuna wakati hawa Wanasiasa wanatakiwa kuchuja maneno kuhusu mambo wanayoyanadi kwa wananchi kabla ya kukurupuka na kuropoka vitu ambavyo kiuhalisia wananchi tunajua na tunaviona

Kama ni umasikini ni tatizo kubwa kwenye familia na imeongezeka kwa awamu hii ya uongozi ambapo deni la Taifa pia limeongezek maradufu.

Lakini mtu anasimama anasema Samia kapambana na umasikini labda kwao binafsi maana wanapata posho

Ingekuwa amepambana na umasikini saivi kila msanii asingekuwa chawa wa CCM maana kinachowapeleka kule ni njaa na si vinginevyo

haya kapambana na Ujinga, ujinga gani wakati Machawa wanazidi kuongezeka nchini na wengine wanadiliki kutaka nyadhifa kuongoza watanzania

Sijawai kusikia huyu Paresso akiongea Mantiki hata siku moja

-------------

View attachment 3473360
Chanzo: Jambo TV​

"Dkt. Samia Suluhu Hassan ameonesha jitihada kubwa za kupambana na maadui wakubwa wa nchi hii ambao ni maradhi, ujinga na umaskini."

Hayo ameyasema Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni mbunge mstaafu wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso Septemba 15, 2025 akiwa Hanang mkoani Manyara akimnadi na kumuombea kura mgombea Urais wa CCM Samia Suluhu Hassan

Ameeleza katika kupambana na Maradhi amejenga Hospitali, Zahanati na vituo vya Afya katika kila Wilaya nchini.

Kwenye kupambana na ujinga Dkt. Samia amejenga shule za msingi 19,780, amejenga vyuo vya ufundi, na kuongeza bajeti ya mikopo ya wanafunzi elimu ya juu kutoka bilioni 464 hadi kufikia bilioni 786.

Katika kupambana na umaskini Paresso ameeleza kuwa ndani ya miaka minne hii jumla ya ajira rasmi na zisizo rasmi zilizozalishwa ni 8,084,203 ambazo ni kutokana na uongozi mahiri wa Rais Samia

Amesisitiza kuwa Rais Samia alizingatia kufanya kazi kwa bidii badala ya kupambana na wapinzani.

"hakupambana na wapiga kelele kwenye mitandao hakupambana na wale marafiki zangu walioweka mpira kwapani wanasema 'no reform' akapambana na hoja zinazowakabili Watanzania" amesema Paresso
Ujinga upi kapambana nao! Maana Katiba inayotuongoza na kukandamiza mawazo kinyume na Chama cha CCM ni picha ujinga mkubwa...!
 
HAo walikuwa maadui wa Tz ya miaka 1960s , leo maadui zetu ni ufisadi na ukosefu wa ajira kwa vijana
 
Back
Top Bottom