JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Timu ya Wanawake ya Kikapu ya Australia imepata matokeo ya kushtua baada ya kufungwa Vikapu 75-62 dhidi ya Nigeria kwenye Uwanja wa Pierre Mauroy Jijini Lille. Mchezo ujao wa Australia “The Opals” itacheza dhidi ya Ufaransa