Paris, France: Maelfu waandamana kudai haki itendeke kwenye kifo cha Mfaransa mweusi aliyefia mikononi mwa Polisi mwaka 2016

Paris, France: Maelfu waandamana kudai haki itendeke kwenye kifo cha Mfaransa mweusi aliyefia mikononi mwa Polisi mwaka 2016

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Waandamanaji zaidi ya 20,000 wamekusanyika katika Mji Mkuu wa nchi hiyo, Paris kudai haki itendeke katika kifo cha Mfaransa mweusi Adama Traore aliyefia mikononi mwa polisi mwaka 2016

Uchunguzi wa mazingira ya kifo Traore (24) umekuwa ukiendelea kwa miaka minne huku kukiwa na ripoti za kiafya zinazopingana kuhusu kile kilichosababisha kifo chake. Kisa cha Traore kimekuwa ushahidi mkubwa kuonesha ukatili unaofanywa na Polisi nchini Ufaransa

Ripoti iliyotolewa hivi karibuni imedai chanzo cha kifo chake ni matatizo ya moyo lakini familia yake inadai kwa mujibu wa uchunguzi binafsi waliofanya, alifariki kutokana na kushindwa kupumua kutokana na namna alivyothibitiwa na Polisi

Polisi jijini Paris wametumia mabomu ya machozi kutawanya waandamanaji hao waliokuwa wanapinga ubaguzi wa rangi na ukatili unaofanywa maafisa wa Polisi

Maelfu ya wananchi walikusanyika kwenye maandamano hayo na kukiuka agizo la kuepuka mikusanyiko lililowekwa na Polisi ili kudhibiti maambukizi ya Corona

Mbali na kutaka haki kwenye kifo cha Adama Traore, pia walikusanyika kama ishara ya umoja kuunga mkono maandamano ya kifo ya Mmarekani George Floyd aliyefariki baada ya polisi kumuwekea goti shingoni

Hata hivyo, Kamanda wa Polisi wa jiji la Paris, Didier Lallement ametetea kikosi chake dhidi ya tuhuma za ubaguzi na ukatili

=====

1591161506546.png


Thousands of people have joined protests in France over the 2016 death of a black man in police custody, defying police orders not to assemble due to coronavirus restrictions.

The death of Adama Traoré, 24, has been likened to the killing of George Floyd in the US, whose death has sparked protests across the country.

Police clashed with protesters in the Paris suburbs on Tuesday.

The Paris police chief has rejected charges of racism against his force.

About 20,000 people defied the order on mass gatherings to join the protest. Initially peaceful, the march turned violent, with stones thrown at police and tear gas fired back.

There were also demonstrations in other cities, including Marseille, Lyon and Lille. Some of the demonstrators carried Black Lives Matter placards - the movement that began in the US and has spread internationally.

Mr Traoré died in a police station after being apprehended by officers in the Paris suburbs and losing consciousness in their vehicle.

One of the officers told investigators that he and two colleagues pinned down Mr Traoré using their bodyweight.

Official reports indicate he died of heart failure, possibly due to an underlying health condition. Last Thursday, the officers who detained Mr Traoré were exonerated by a police investigation.

Following his death in 2016, violent protests were seen in Paris for several days.

His case has become a rallying cry against police brutality in France, which young ethnic minority communities say targets them.

On Tuesday campaigners defied authorities, after their request for permission to protest was denied by police.

Public gatherings are limited to 10 people to control the spread of coronavirus.

Video showed police firing tear gas at crowds in Paris, as well as several fires and blocked roads.

"Today we are not just talking about the fight of the Traoré family. It is the fight for everyone. When we fight for George Floyd, we fight for Adama Traoré," his sister, Assa, told the protest, according to AFP.

Paris police chief Didier Lallement defended his force against allegations of brutality and racism.

In a letter to police officers, he said he sympathised with the "pain" they must feel "faced with accusations of violence and racism, repeated endlessly by social networks and certain activist groups".

Source: BBC
 
Inatakiwa makaburi yote yafukuliwe watu wakichafue tu

Tupo pamoja nawapinga ubaguzi...
 
Watu wana hasira za kufungiwa ndani hawana hela!

Nmegundua wale jamaa maisha yakiwapiga watauana kama nzige! Yani selikali zao zimewalea kimayai sana.
 
Watu wana hasira za kufungiwa ndani hawana hela!

Nmegundua wale jamaa maisha yakiwapiga watauana kama nzige! Yani selikali zao zimewalea kimayai sana.
Mbona hizo stress za kufungiwa ndani hawazileti hapo Uganda/Rwanda walikofungiwa miezi sasa?

Wanajua watauwawa kama kuku mpk vifaru na makombora yatawahusu,US wananchi wanaandama wakijua kuna rule of law,Africa hakuna kitu kama hicho.
 
Mbona hizo stress za kufungiwa ndani hawazileti hapo Uganda/Rwanda walikofungiwa miezi sasa?

Wanajua watauwawa kama kuku mpk vifaru na makombora yatawahusu,US wananchi wanaandama wakijua kuna rule of law,Africa hakuna kitu kama hicho.
Ndio maana nikakwambia sekikali zao zimewalea kimayai!
Uganda wanaumia ila hawana jinsi wanaugulia ndani.

Kama unafikiri Uganda wamelizika na hayo maisha unajidanganya,
 
Ndio maana nikakwambia sekikali zao zimewalea kimayai!
Uganda wanaumia ila hawana jinsi wanaugulia ndani.

Kama unafikiri Uganda wamelizika na hayo maisha unajidanganya,
US wanafanya wanayoyafanya sababu ya RULE OF LAW ipo,hakuna kitu watafanywa na police/security organs zao lkn usilete story za sijui ni madhara ya lockdown na blah blah kama hizo.

Mwaka 1968 walivyofanya tena maandamano makubwa kama haya kulikua na Lockdown gani imefanyika?
 
Sasa hapa.... Iran, Russia, China, Venezuela, North Korea, South America, Africa...wangekuwa na akili wakaungana na kuingiza vikosi vingi vya kufanya vurugu America na Europe ndio mfumo wa unyonyaji na ubeberu ungeuawa.

Kama America na Ulaya zilivyoshabikia Arab Spring na wao wapate the test of their own medicine.....
 
Waafrika tunamatatizo sana kiukweli tunahisi kuwa namatatizo nashida nyingi ndio kupambana kimaisha kama utakua naakili kama hizo utakua namawazo naakili zilizosinyaaa(SIJAKUTUKANA MKUU)

Maisha bora kwakila mwananchi ndio takwa lakila raia wataifa husika kupitia serikali husika kudhania kinyume chake niupuuzi na ujinga(SIJAKUTUKANA)
 
Sasa hapa.... Iran, Russia, China, Venezuela, North Korea, South America, Africa...wangekuwa na akili wakaungana na kuingiza vikosi vingi vya kufanya vurugu America na Europe ndio mfumo wa unyonyaji na ubeberu ungeuawa.

Kama America na Ulaya zilivyoshabikia Arab Spring na wao wapate the test of their own medicine.....
Una akili kama zangu MKUU inatakiwa waingizw vikundi vidogo vidogo vingi vyakushato ikiwezekana kinuke kweli kweli

Ntajifungia ndani tu mpaka yapite haya[emoji23][emoji23][emoji23] nikiona chenga ntakutafta BOSS ukantaftie mganga aniletee UNGO niamshe night kali [emoji23][emoji16][emoji14][emoji12][emoji14][emoji12]
 
  • Thanks
Reactions: rr4
MANGE VIRUS ☠☠☠😈😈
 
Back
Top Bottom