Tukio hilo lilitokea majira ya saa 3:30 asubuhi jijini Paris. Wanawake hao wenye umri wa miaka 19, 24 na 36 walijeruhiwa kwa kuchomwa visu, huku mmoja wao akiwa mjamzito.
Mshukiwa, mwanaume mwenye umri wa miaka 31, mwenye asili ya kiarabu, alidhibitiwa na raia waliokuwa eneo la tukio kabla ya kukamatwa na polisi. alidai kuwa "ni Allah aliyeniamuru",
Man attacks 3 women with knives in Paris before being stopped by bystander, witness says
Officials say the motive behind a violent attack on three women in Paris is unclear, but the suspect shouted incoherently after being tackled by bystanders.