Paris: Mwanaume awachoma visu wanawake watatu, akiwemo mwanamke mjamzito, huku akidai alifanya hivyo kwa ajili ya Allah

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Your browser is not able to display this video.

Tukio hilo lilitokea majira ya saa 3:30 asubuhi jijini Paris. Wanawake hao wenye umri wa miaka 19, 24 na 36 walijeruhiwa kwa kuchomwa visu, huku mmoja wao akiwa mjamzito.

Mshukiwa, mwanaume mwenye umri wa miaka 31, mwenye asili ya kiarabu, alidhibitiwa na raia waliokuwa eneo la tukio kabla ya kukamatwa na polisi. alidai kuwa "ni Allah aliyeniamuru",

 
Mnyazi mungu
 
Actually mkuu tunashukuru Kwa taarifa ila Kuna battle hapa soon😹😹
 
Akili yangu inaniambia wazungu sio wagogo
Eti hawajui balaa linalokuja mbele dhidi ya wabusu jiwe
Hapana iko kitu!
 
Wanawakar8bisha wa nini hawa wahuni. Wasukume kwao wapambame ma udikiteita wa ufalme wa kiarabu
 
Baadhi ya Hawa jamaa wa ...... takatifu
miyeyusho sana.
 
Watu wa3 na kichanga tumboni,kuna kesi hapo?
Peleka kibra shoka moja tu la shingo mnasahau akamplelekee salamu huyo aliyemtuma.
 
Lina shida ya afya ya akili hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…