Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Aaron Arsenal DullyJr Ollachuga Oc hii chapati kumbe imehamia PSG imechoka kutembea na kusumbua watu waje kushuhudia pressing za hatari.
Don Clericuzio
The best 007 Mc cane muoneni Man U mwenzenu kashakimbia timu.
Hahaha, kaona ajiegeshe kwa mchepuko kabisa.
Ndo maana simwoni tena akilalamika kwenye threads zingine.