Paris Saint Germain PSG (The Parisians)| Special thread

PSG wakipata hili kombe itakua ni ishara kwamba Buffon ni kigundu kwenye timu. Alienda PSG ili achukue UCL, PSG haikufika kokote, msimu uliopita akaamua kurudi Juve ii aje kupambania UCL akiwa huko, Juve wametolewa na Lyon na PSG imetinga fainali.

Buffon anaweza kustaafu bila UCL.
 
SEMI FINAL UCL FOR THE FIRST TIME IN A WHILE
We kenge umekuja kujichimbia huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yale mapressing ya usiku wa saa 10:00 AM ndio haya?
Rudi kwenu kule tarangile Nyumbu mkubwa weeeeehhh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni ndoto psg kubeba ubingwa mbele ya Mjerumani, wasifikiri hao Nantes.
 
Fainali ikiwa kati ya PSG na Bayern itakuwq murua sana.
 
Haya sasa hayawi hayawi yamekuwa Leo PSG mapema twanyanyua ndoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…