Paris Saint-Germain Special Thread

Messi angetimkia city pangemfaa zaidi. Psg kila mtu anataka yeye afunge hata kama hayuko sehemu sahihi atalazimisha huku Messi akibaniwa pasi. Ni upumbafu haswaa. Kilichoniuzi pia kocha kampiga sub 😁 kwa style iyo wasahau uefa.
Hakuwa na faida uwanjani ndio maana Kocha akafanya sub by the way muachieni Mbappe aende zake Madrid.
 
Wewe computerarsenal mashabiki wenzako wa PSG wapo hapa kusherehekea ushindi wewe ushindi unakuja kuusherehekea uzi wa Arsenal.

Halafu hauna hata komenti moja humu. Siyo poa.
 
Hakuwa na faida uwanjani ndio maana Kocha akafanya sub by the way muachieni Mbappe aende zake Madrid.

Unaongea ukiwa wapi? Hakuwa na faida kivipi!! Umeangalia game lakini!!! Ni lini messi hakucheza vizuri, akiwa barca nani man of the match kila game? Isipokuwa mara chache sana anashuka.
 
Hana uwezo wa kucheza EPL.

Umejuwaje? Kama akina bruno, pogba, salah, mane, na lingard wameweza iweje Messi ashindwe!!!


Messi angerikuwa pozeshen moja na ronaldo na mbappe kwa maana asubiri atengewe angekuwa anafunga amefumba macho. So Messi atabakia kuwa Messi. Mchezaji bora kuwahi tokea.
 
Sisi tulisema Messi nje ya Barcelona ni Makambo aliyechangamka ,na sasa mafuta na maji yanajitenga taratibuuuu.
 
Mashabiki wa ronaldo munatabu mnoo😁 angerikuwa amefunga jana mngeonyesha wapi face zenu!!!! Bado tuna imani nae sana.
Pointless mpira ni zaidi ya kufunga ,nipe stats zake uyo dogo alichofanya kweny mechi
 
computerarsenal unajua kama mnacheza? Kama kawaida clean sheet hakuna.

Mnaenda suluhu half time na metz!😅😅
 
Raha ya kucheza champions [emoji471]league [emoji471]ni hii mnakutana wanaume kwa wanaume rahaaa
 
Messi kawanyamazisha rasmi haters (one minute of silence please)

Vijana wanamuangusha, ubinafsi umetamalaki.

Vijana walikuwa wanambania sana The Goat...muda wote wanacheza upande wa mbappe halafu wanapoteza.....huku Messi hawampi mipira, hilo goli lenyewe alitoa pasi akaomba arudishiwe ndio akaenda kuscore....They were sure to score more than four goals endapo wasingembania Messi kumpa passes....kama wataendelea na uselfish wao hawafiki kokote....kocha kama kocha ajipange upya, awakalishe vijana wake waache uselfish/choyo kwa Messi, Messi ndie Psg yenyewe, Messi ndie Pocchetino....i wish de maria na lcardi wawe wanaanza atleast hawatambania pasi mwenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…