Zidani
JF-Expert Member
- Apr 5, 2021
- 970
- 3,941
Hakuwa na faida uwanjani ndio maana Kocha akafanya sub by the way muachieni Mbappe aende zake Madrid.Messi angetimkia city pangemfaa zaidi. Psg kila mtu anataka yeye afunge hata kama hayuko sehemu sahihi atalazimisha huku Messi akibaniwa pasi. Ni upumbafu haswaa. Kilichoniuzi pia kocha kampiga sub š kwa style iyo wasahau uefa.