Rio Ferdinand and Owen Hargreaves could not believe their eyes when they saw Lionel Messi lying down behind the PSG wall to stop free-kick taker Riyad Mahrez going under it.Sio fairView attachment 1957542 daah hadi hurumaView attachment 1957543
Ubinafsi umetamalaki sana Hasa safu ya ushambuliajiVijana wanamuangusha, ubinafsi umetamalaki.
Vijana walikuwa wanambania sana The Goat...muda wote wanacheza upande wa mbappe halafu wanapoteza.....huku Messi hawampi mipira, hilo goli lenyewe alitoa pasi akaomba arudishiwe ndio akaenda kuscore....They were sure to score more than four goals endapo wasingembania Messi kumpa passes....kama wataendelea na uselfish wao hawafiki kokote....kocha kama kocha ajipange upya, awakalishe vijana wake waache uselfish/choyo kwa Messi, Messi ndie Psg yenyewe, Messi ndie Pocchetino....i wish de maria na lcardi wawe wanaanza atleast hawatambania pasi mwenzao
Ubinafsi umetamalaki sana Hasa safu ya ushambuliaji
Mbapeee
Usimlaumu mess , Neymar Wala mbappe ...Na hata ukicheki goli alilofunga mbappe ni messi ndie sababu.
Psg ni underdog kwa city siku zote .....Mbape na wenzie wanaicost sana timu, ana kaubinafsi flani kwa messi, na sio yeye tu, wengine pia wamegeuka kuwa midfielder na siyo wakabaji wa kutoa pasi kwa messi. Psg haifiki kokote kwa style hiyo.
Mbappe analazimisha chenga wakati kuna messi pembeni yake, messi alikuwa na nafasi kubwa ya kufunga jamaa akalazimisha yeye ascore akapaisha juu [emoji23]
Psg ni timu ya ajabu sana, kila mtu pale analazimisha kuwa midfielder [emoji23] messi anajikuta anasubiri pasi haoni mpira. Kweli mti wenye matunda hupigwa mawe.. ni heri angetimkia city, city wanaushirikiano sana na angewasaidia sana UEFA.
Psg ni underdog kwa city siku zote .....
Note ; Psg hajapiga corner hata moja kuanzia 1min - 90+3 min [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usimlaumu mess , Neymar Wala mbappe ...
Mlaumu pep guardiola kwa mbinu za mauaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii kitu ndio iliyo wagharimu Baca. Kila kitu Mess Mess. Kwahiyo kila atakaepata mpira anatakiwa aanze kuzurura uwanjani kutafuta Mess alipo?Mbape na wenzie wanaicost sana timu, ana kaubinafsi flani kwa messi, na sio yeye tu, wengine pia wamegeuka kuwa midfielder na siyo wakabaji wa kutoa pasi kwa messi. Psg haifiki kokote kwa style hiyo.
Mbappe analazimisha chenga wakati kuna messi pembeni yake, messi alikuwa na nafasi kubwa ya kufunga jamaa akalazimisha yeye ascore akapaisha juu [emoji23]
Psg ni timu ya ajabu sana, kila mtu pale analazimisha kuwa midfielder [emoji23] messi anajikuta anasubiri pasi haoni mpira. Kweli mti wenye matunda hupigwa mawe.. ni heri angetimkia city, city wanaushirikiano sana na angewasaidia sana UEFA.