Paris Saint-Germain Special Thread

Paris Saint-Germain Special Thread

Hatimae leo ndo tunaenda kuendelea na mapambano ya kukamilisha ndoto yetu ya kuona jiji la Paris likirindima kwa Shangwe za furaha baada ya kutwaa UCL kwa mara yetu ya kwanza[emoji419]

Mon en l'aimee et Paris[emoji93]View attachment 2119862

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]psg kuchukua uefa ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hatimae leo ndo tunaenda kuendelea na mapambano ya kukamilisha ndoto yetu ya kuona jiji la Paris likirindima kwa Shangwe za furaha baada ya kutwaa UCL kwa mara yetu ya kwanza[emoji419]

Mon en l'aimee et Paris[emoji93]View attachment 2119862

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Vipi jiji la Paris bado linarindima kwa Shangwe za furaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie yule dada wa Mirinda nyeusi ndio aliwatia gundu, yaani sasa hivi kila mechi za maana mtakua mnakalia chupa tu.
 
Only football does exceptional things aliwahi kusema louis van gaal
Kuhusu mirinda nyeusi jiheshimu sana man
 
Back
Top Bottom