Paris Saint-Germain Special Thread

Paris Saint-Germain Special Thread

Neymar kazi ubishoo tu hana msaada wowote Ktk timu.

Neimar anaigharimu timu,,,,analazimisha chenga ziczokuwa na manufaa katika timu hadi ananyang'anywa.

Messi angetimkia man city ingemfaa zaidi, maana atakutana na watu wazima,, sasa huko psg ni wakubwa lakini bado utoto unawasumbua😁

Jana nimechekinmakosa mengi walifanya, goli la pili limesababishwa na uzembe wa kipa, na goli la tatu limesababishwa na uzembe wa maquinos.
 
Kumbe hili limekuwa shamba la bibi.

Monaco naye kajipigia zake tatu kwa nunge
 
Wenye timu mbona kimya sana?
 
Hii timu ni ya kikuda Kama vile ilivyo Man City yani zinategemea pesa za mafuta kulisaka kombe la UEFA na bado zinaambulia patupu.
 
M
20220525_222055.jpg
 
Mshambuliaji wa klabu ya Paris Saint-Germain, Kylian Mbappe ameripotiwa kuwa na orodha ya watu 14 ambao anataka waondoke ndani ya timu hiyo akiwemo Kocha wake Mauricio Pochettino na Neymar.

Kinda hilo lenye umri wa miaka 23 pekee, Mbappe mapema wiki iliyopita alisaini mkataba mpya na PSG ambao umempa mamlaka makubwa mno ili kuachana na mpango wake wa kujiunga na Real Madrid huku kandarasi hiyo ikimuhakikishia kitita kizito cha paundi 650,000 kwa wiki ndani ya matajiri hao wa Ufaransa.

Mbappe amepewa mamlaka makubwa hata katika sajili zitakazofanyika PSG na hivyo inadaiwa Mfaransa huyo anaanza na dirisha hili.

Kwa mujibu wa Mundo Deportivo, ajira za watu 14 zipo mashakani kutokana na mshindi huyo wa Kombe la Dunia anahitaji kukisafisha kikosi cha PSG.

Panga la Mbappe linawahusu viungo Julian Draxler, Ander Herrera, Idrissa Gueye, Mauro Icardi, Leandro Paredes ana Thilo Kehrer.

Wengine ambao wapo kwenye orodha ya Kylian Mbappe ni pamoja na Danilo Pereira, Layvin Kurzawa, Pablo Sarabia, Juan Bernat, Colin Dagba na Sergio Rico
 
Back
Top Bottom