Paris Saint-Germain Special Thread

Paris Saint-Germain Special Thread

Tetesi
PSG itajaribu kumsajili Sanchez kwa dau la £25m ijapokuwa Manchester City bado wanamtaka mchezaji huyo wa Chile baada ya kushindwa kumpata mchezaji huyo kwa dau la £60m katika dirisha la uhamisho lililiopita. (Express)
 
TetesiPSG YAMFUATILIA DIARRA

Paris Saint-Germain wapo kwenye mazungumzo na mchezaji wa zamani wa Chelsea na Real Madrid Lassana Diarra, kwa mujibu wa SFR Sport .
Diarra kwa sasa anaichezea klabu ya Al Jazira ya Falme za Kiarabu, lakini anaweza kuruhusiwa kuondoka kwa uhamisho wa bure Januari.
 
Tetesi
PSG WANAMTAKA FELLAINI KWA UHAMISHO HURU

Paris Saint-Germain wameulizia uwezekano wa kumpata kiungo wa Manchester United Marouane Fellaini kwa uhamisho wa bure, kwa mujibu wa Mirror .
 
happy-new-year-2018-gif+%282%29.gif
 
Paris Saint-Germain made an explosive start to 2018 by pulverising fellow Ligue 1 side Rennes 6-1 at Roazhon Park in the Coupe de France Round of 64 on Sunday.

The three-time defending champions produced some scintillating football, with Kylian Mbappe, Neymar and Angel Di Maria each scoring twice in Brittany.

Benjamin Bourigeaud's second-half penalty proved the scantest of consolation goals as Unai Emery's men marched into the round of 32.
 
JIPATIE DAU LA BURE KUTOKA WWW.BONGOTIPS.COM LA KUANZIA TSH 5,000/= HADI TSH 40,000/= KILA SIKU PALE UNAPO WEZA BASHIRI GAME ZAKO NA ZIKASHIDA.

MAELEZO ZAIDI PIGA 0673839983 , 0718445962, NA 0625655587
AU TEMBELEA WWW.BONGOTIPS.COM AU PAGE ZETU ZA FACEBOOK ZA BONGOTIPS PREDICTION
 
Neymar alizomwa na mashabiki wa Paris St-Germain baada ya kumnyima Edinson Cavani fursa ya kuwa mchezaji aliyeifungia klabu hiyo mabao mengi wakati wa mechi dhidi ya Dijon.
Bao la kipindi cha kwanza la cavani lilimfanya kuwa sawa kwa magoli na mshambuliaji wa zamani Zlatan Ibrahimovic akiwa na magoli 156 katika mashindano yote aliyochezea PSG.
Wenyeji hao waliongoza kwa 4-0 katika kipindi cha kwanza na Neymar alikuwa tayari amekamilisha hat-trick kabla ya PSG kupata penalti.

Hatahivyo raia huyo wa Brazil aliamua kupiga mkwaju huo wa penalti badala ya kumwachia Cavani, hatua iliomfanya Neymar kuzomwa na mashabiki wa timu hiyo , lakini kocha Unai Emery alimtetea mchezaji huyo baada ya mechi hiyo.

''Nadhani Neymar alipiga mkwaju huo wa penalti kwa sababu ilikuwa siku nzuri kwake'', alisema Emery.
''Tunafurahia. Lakini kutakuwa na fursa nyingi kwa Cavani kufunga mabao zaidi''.
Beki wa PSG Thomas Meunier aliitaja hatua hiyo ya Neymar kuwa aibu lakini akaongezea kuwa ni Neymar aliyepewa jukumu la kupiga penalti.
''Angempatia mpira ingekuwa ishara nzuri ya fair Play'', alisema.
''Aliifanyia kazi kubwa timu yetu na swala la kuzomwa na mashabiki , kwa kweli hakuipiga vizuri. Nadhani wachezaji wengi wangefanyiwa hivyo''.

PSG inaongoza kwa pointi 11 kutoka kwa wapinzani wake wa karibu Lyon baada ya mechi 21.
Vionghozi hao wa ligi wameshinda mechi nane zilizopita na michuano ya kuwania mataji, wakiwa wamefunga mabao 31 na kufungwa sita pekee.
Dijon ambao wako katika nafasi ya 11 katika jedwali hawajashinda hata mechi moja katika mechi nne walizocheza.
 
Tetesi
Mshambuliaji wa Paris St-Germain na Brazil Neymar ataruhusiwa kujiunga na Real Madrid, lakini kwa makubaliano ya iwapo ataisaidia timu hiyo ya Ufaransa kubeba kombe la vilabu bingwa Ulaya kulingana na rais wa timu hiyo Nasser Al-Khelaifi .Mchezaji huyo mwenuye umri wa miaka 25 ana ndoto ya kuichzea timu hiyo. (Goal)
 
PSG Vs RMadrid

Ni rahisi kusema kuwa PSG wataifunga RM, lakini ni jambo gumu sana kwao regardless ya RM current forms. A draw will be a best results for them and use Home advantage back in Paris to kill off the tie.
 
Na ndio wameshatoka

Yes, Very difficult to win a 2-0 against RM, PSG si wa kuwatoa RM. Neymoney hana supporting cast yenye uwezo huo. Tunaweza kusema they are talented but lack maturity, experience and endurance. However, kama watapita, itakuwa maajabu ya Barca Vs PSG mwaka jana
 
Mimi Ni Mshabiki Wa Liverpool! Lakini Sio Wakuu Mukubali Kuwa Mulikosea Sana Kumchukua Neymar badala Ya Coutinho.

REASON

• Neymar Kashamaliza Trophy zote bado individual honor tu Kama Vile Balon D'or, Eorper player of the Year e.t.c.
Kwahiyo Hana ari ya Kuisaidia Timu Kubeba Tropy Yoyote hile kubwa Barani Ulaya. Bali anacheza Kwa Ajili ya Kuwin Hizo Major Honor ili awe World best! Na Ndiyomana Pahala Pa Kufanya Maamuzi ya Maana basi Yeye Anapiga Kisigino au Kanzu au Chenga zisizo za Lazima ili acheze na Majukwaa pamoja na Media.

• Lakini Kuhusu Coutinho Hana Trophy Wala Hana individual honor! Na Kaondoka Liverpool Kwa Kutafuta Hivyo Vitu! Sasa [HASHTAG]#PSG[/HASHTAG] wangemchukua basi angepiga Kazi Ya Uhakika Zaidi aliyokuwa Akipiga Liverpool ili avae Medali.
 
Nakukumbusha Tu Zidane Ufaransa Anakuja Kwao na Wala Haji Kama Ni Mgeni!
Kwahiyo Usije Shangaa Ukakuta Akiukaja Uwanja tu Mshabiki Wa PSG wakasimama na Kumpigia Makofi!!!
Usijetegemea Mechi Utakuwa Rahisi Kihivyo......!
 
PSG ndo baibai hivo, Cavani hakuonekana kabisa jana, Dimaria nae alikuwa sub sasa sijui ilikuwaje hakucheza.
 
Mimi Ni Mshabiki Wa Liverpool! Lakini Sio Wakuu Mukubali Kuwa Mulikosea Sana Kumchukua Neymar badala Ya Coutinho.

REASON

• Neymar Kashamaliza Trophy zote bado individual honor tu Kama Vile Balon D'or, Eorper player of the Year e.t.c.
Kwahiyo Hana ari ya Kuisaidia Timu Kubeba Tropy Yoyote hile kubwa Barani Ulaya. Bali anacheza Kwa Ajili ya Kuwin Hizo Major Honor ili awe World best! Na Ndiyomana Pahala Pa Kufanya Maamuzi ya Maana basi Yeye Anapiga Kisigino au Kanzu au Chenga zisizo za Lazima ili acheze na Majukwaa pamoja na Media.

• Lakini Kuhusu Coutinho Hana Trophy Wala Hana individual honor! Na Kaondoka Liverpool Kwa Kutafuta Hivyo Vitu! Sasa [HASHTAG]#PSG[/HASHTAG] wangemchukua basi angepiga Kazi Ya Uhakika Zaidi aliyokuwa Akipiga Liverpool ili avae Medali.

Am a Barca fan, Neymar apambane na hali yake with individual fame. Kiuhalisia upo sahihi
 
Yes, Very difficult to win a 2-0 against RM, PSG si wa kuwatoa RM. Neymoney hana supporting cast yenye uwezo huo. Tunaweza kusema they are talented but lack maturity, experience and endurance. However, kama watapita, itakuwa maajabu ya Barca Vs PSG mwaka jana
PSG walidhani mpira ni fedha pekee yake.
 
PSG wana timu nzuri wamekosa kocha tu wamlete diego simeone pale kazi kwisha
 
Back
Top Bottom