Paris Saint-Germain Special Thread

Paris Saint-Germain Special Thread

Hii timu ikijitahidi Sana itaishia robo fainali basi yani hakuna namna mnaweza kuingia nusu fainali achilia mbali fainali yenyewe.
 
Nyinyi mashabiki wa psg kuna jamaa anasema ni shabiki wenu ila kila siku yupo uzi wa Arsenal kamfuateni mumkalishe humu
Hatumtambui huyo mkuu..ni shabik wa kulia lia tu lkn moyo wakr uko Arsenal ana act tu.
 
Hii timu ikijitahidi Sana itaishia robo fainali basi yani hakuna namna mnaweza kuingia nusu fainali achilia mbali fainali yenyewe.
Jana wameenyeshwa tu draw ..hii PSG ya sasa ndio itakuwa ni PSG mbovu kuwahi kutokea katika hii michuano ya uefa.
 
Timu ikishakuwa na mastaa wengi basi inakuwa sawa sawa na hakuna kitu Chelsea, Bayern, Liverpool wanaweza kubeba tena hili kombe ukizingatia R Madrid na Man U hawapo vyema ila PSG hahahaa hawavuki robo Hawa.
 
Majitu ya kijinga yanacomment vitu vya kijinga, hizo BDO 6 aliotea?
 
Timu ikishakuwa na mastaa wengi basi inakuwa sawa sawa na hakuna kitu Chelsea, Bayern, Liverpool wanaweza kubeba tena hili kombe ukizingatia R Madrid na Man U hawapo vyema ila PSG hahahaa hawavuki robo Hawa.

Messi angetimkia city pangemfaa zaidi. Psg kila mtu anataka yeye afunge hata kama hayuko sehemu sahihi atalazimisha huku Messi akibaniwa pasi. Ni upumbafu haswaa. Kilichoniuzi pia kocha kampiga sub 😁 kwa style iyo wasahau uefa.
 
Sasa kwanini mnamlazimisha abaki na mabosi wenu wote wanajua Mbappe ndiye kila kitu pale PSG kuliko huyo Messi wenu.
 
Messi angetimkia city pangemfaa zaidi. Psg kila mtu anataka yeye afunge hata kama hayuko sehemu sahihi atalazimisha huku Messi akibaniwa pasi. Ni upumbafu haswaa. Kilichoniuzi pia kocha kampiga sub 😁 kwa style iyo wasahau uefa.
Hana uwezo wa kucheza EPL.
 
Back
Top Bottom