Paris vs Man City

Utopologist

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2021
Posts
998
Reaction score
2,506
Ebana linapigwa jingi sana kama ndio CL final yenyewe

Neymar anafanya mambo yake kama Neymar
 
Uwanja umeinama, Paris hatoki kwenye nusu yake
 
Duh hatari siyo mchezo,ngoma inaonekana Kali huko kideoni eehh?
 
Idrissa Gueye MotM

Amefunga na kafanya kazi kubwa sana pale midfield
 
Simba inasajili Uefa CL level players halafu mtu anakuja anakwambia tunasaini magalasa
 
Real Madrid 0 - 1 Sherrif

Dah, chama la Banda linaongoza huko Bernabeu

Banda lazima atakuwa analia leo, angekuwa Bernabeu leo badala yake alikuwa Musoma anacheza kwenye majani ya kulisha mifugo [emoji1787][emoji1787]
Nini kilisababisha akafika musoma
 
Vijana walikuwa wanambania sana The Goat...muda wote wanacheza upande wa mbappe halafu wanapoteza.....huku Messi hawampi mipira, hilo goli lenyewe alitoa pasi akaomba arudishiwe ndio akaenda kuscore....They were sure to score more than four goals endapo wasingembania Messi kumpa passes....kama wataendelea na uselfish wao hawafiki kokote....kocha kama kocha ajipange upya, awakalishe vijana wake waache uselfish/choyo kwa Messi, Messi ndie Psg yenyewe, Messi ndie Pocchetino....
 
Mbappe ndio PSG yenyewe bila huyo dogo PSG ni bure tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…