Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Ebana linapigwa jingi sana kama ndio CL final yenyewe
Neymar anafanya mambo yake kama Neymar
Neymar anafanya mambo yake kama Neymar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebana linapigwa jingi sana kama ndio CL final yenyewe
Neymar anafanya mambo yake kama Neymar
Nini kilisababisha akafika musomaReal Madrid 0 - 1 Sherrif
Dah, chama la Banda linaongoza huko Bernabeu
Banda lazima atakuwa analia leo, angekuwa Bernabeu leo badala yake alikuwa Musoma anacheza kwenye majani ya kulisha mifugo [emoji1787][emoji1787]
Mpaka sasa huyo Banda kafanya kitu gani?Simba inasajili Uefa CL level players halafu mtu anakuja anakwambia tunasaini magalasa
Akikujibu nistueNini kilisababisha akafika musoma
Mbappe ndio PSG yenyewe bila huyo dogo PSG ni bure tuVijana walikuwa wanambania sana The Goat...muda wote wanacheza upande wa mbappe halafu wanapoteza.....huku Messi hawampi mipira, hilo goli lenyewe alitoa pasi akaomba arudishiwe ndio akaenda kuscore....They were sure to score more than four goals endapo wasingembania Messi kumpa passes....kama wataendelea na uselfish wao hawafiki kokote....kocha kama kocha ajipange upya, awakalishe vijana wake waache uselfish/choyo kwa Messi, Messi ndie Psg yenyewe, Messi ndie Pocchetino....
Hayo ni maoni yako binafsi, Out of 10 million fans only one will support your opinion....Mbappe ndio PSG yenyewe bila huyo dogo PSG ni bure tu