Hongera Waziri Mkuu wetu,kwa muda mrefu tulikuwa tunasubiri yule atakayemfunga paka kengele.Kwadalili ulizozionyesha kwaahadi ulizotoa,tunaomba kwasasa uwe muda wautekelezaji.Familia ya MZEE KINGUNGE inanufaika sana namikataba bomu naomba pia upitie mkataba wamaegesho wamagari ktk jiji naona kuna harufu mbaya yaufisadi.
Kwakuanzia na wilaya ya ubungo naomba uzungukie wilaya zote za Dar naujionee uozo kuanzia TANDIKA SOKONI nasehemu nyeti zajiji.
Tembelea bandari nawakumbushe ahadi uliyotoa kwawatanzania kule Uingereza,baada yakujionea utendaji kazi wabandari ya dublin(Ireland).
Tanzania ina bandari nyingi Mheshimiwa fungua milango kwabandari nyengine kutoa ushindani,sio lazima Dar-es-salaam.Hiyo itasaidia maendeleo ktk nchi kwakufungua ajira zaidi,kupunguza mzigo kwajiji la DAR kutokana nawingi wa watu kwani watahamia kwenye milango mipya ya kiuchumi.Uchumi utakuwa naserikali kuongeza mapato.
Kenya ina Bandari moja ,Tanzania bara tuna Bandari 4 kama sikosei.Vp wenzetu watupige bao,Mheshimiwa Waziri Mkuu pitia haya nautupatie jibu.Hatutaki tusubiri hadi kampeni zauchaguzi mkuu zianze nakutuahidi ,ajira milioni moja zinawezekana hata kwamiezi6.Serikali iache ukiritimba nakuibebesha mzigo Dar peke yake,serikali iamke niaibu nchi kuwa maskini hali ina raslimali zakutosha.Angalia Tanga imekufa,naviongozi kule nikama waungu watu kuna mikataba mibovu ktk jiji lile hasa za ukarabati wabarabara uliza utaambiwa.Hayo nimachache Mheshimiwa pitia mikataba yote,wananchi tupo nawewe na Mungu atakulinda.Nashukuru kwakusoma kero hizi,nimimi mfurukutwa namzalendo.
Mungu Ibariki Afrika,Mungu Ibariki Tanzania.[/B][/COLOR][/B][/B][/COLOR]