Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba moja yuko vizuri kwenye saikolojia.Kwa kuhuruhusu ni kama amedilute dhamira ya😵f course hawezi kufanya maamuzi kwa kelele za wimbo!Weekend vipi lakini?Na kweli wananguvu maana mpaka Mkulu wa nchi hakulala usiku mzima anausikiliza huo wimbo wa Ney na asubihi akatoa conclusion ya Ney aachiwe huru, hawa watu si mchezo wanawanyima usingizi si kitoto
Leo ukumbi JK Nyerere hapakutosha weusi walipofanya yao kwa mwaliko wa Clouds.Naona Hapi anapiga jaramba kumbadili Rc aliyepo, ama kufa kufaana!Mtatafuta kik sana kupitia Makonda
huyo dogo niki wapili amekanusha amesema hiyo nyimbo haihusiani na siasa niya mapenzi
weusi walialikwa tu watu hawakwenda kwa ajili yao acha uongoLeo ukumbi JK Nyerere hapakutosha weusi walipofanya yao kwa mwaliko wa Clouds.Naona Hapi anapiga jaramba kumbadili Rc aliyepo, ama kufa kufaana!
huyo dogo niki wapili amekanusha amesema hiyo nyimbo haihusiani na siasa niya mapenzi
Katika wale maadui ujinga,maradhi na umasikin adui mkubwa kuliko wote hapa ni ujinga, yaani mkulu alikuwa analipiza visasi kwa kutumia inshu ya madawa imekuwa kila mtu akipinga ukilitimba anauza sembe."Hawa watu" wana nguvu sana ya pesa.Hata wimbo wa Ney wa mitego WAPO ukiusikiliza vizuri utagundua kabisa umefadhiliwa na "Hawa watu"."Hawa watu" ni hatari sana duniani kote.Wana.mtandao hatari
Naomba nimnukuu Mzee wetu mpenzi sana"za kuambiwa changanya na zako" mwisho wa kunukuuhuyo dogo niki wapili amekanusha amesema hiyo nyimbo haihusiani na siasa niya mapenzi
https://my.notjustok.com/track/download/id/198728/by/AsFBrqAWUDNaombeni audio ya huo wimbo
Ufuatilie huo mwaliko kwa jicho la tatumbona ney wa mitego amekubali na amealikwa mpaka ikulu?
Mapembelo ndauli ?weusi walialikwa tu watu hawakwenda kwa ajili yao acha uongo