TANZIA Paroko wa Mwananyamala, Padri Benedict Ndeyekiyo afariki dunia

TANZIA Paroko wa Mwananyamala, Padri Benedict Ndeyekiyo afariki dunia

Torch

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
1,200
Reaction score
1,121
FB_IMG_1611690390160.jpg

Uongozi wa Shirika la Mapadri wa ALCP/OSS-Kanda ya Afrika, wanatangaza kifo cha mpendwa Padre BENEDICT NDEYEKIYO kilichotokea Mwananyamala Jimbo Kuu Dar Es Salaam leo 26.01.2021 asubuhi.

Taarifa nyingine tutapata baadaye. Tumwombee Pd. Benedict pumziko la milele.

Chanzo: Radio Mbiu
 
Ni wakati sasa wa kla mmoja wetu kujilinda bila shuruti wala kusubiri matamko tokea jjn Chato.

RIP baba paroko
 
Shida yetu sahz watu wanataka kutangaza kila kifo, kifo kipo tuu, ila tusiogopeshane tukaja kufa kizembe kwa stress,
Chukua tahadhari korona inaua.
 
Mamangu amepata ujumbe huu tangu mchana kwenye group lao la watsap la wana karismatiki mchana wa leo, ila hawakuweka sababu ya kifo.

Kanisa katoliki Juzi jumapili washatoa tahadhari ya korona kanisani
 
Shida yetu sahz watu wanataka ktangaza kila kifo, kifo kipo tuu, ila tusiogopeshane tukaja kufa kizembe kwa stress,
Chukua tahadhari korona inaua..
Poleni! Sasa napata wasiwasi- mbona mapadre wamekuwa mstari wa mbele kwenda mbele ya haki kwa maambukizi mapya ya ugonjwa wa kushindwa kupumua- pneumonia?

Moshi January hii alikufa Pd Lewanga, Pd Victorin Riziki na huko Bukoba Pd Irenulis Mbahulira na wengine wengi tu wako mahospitalini, wengine wametoka. Kunanini? Sio Korona!?
 
Poleni! Sasa napata wasiwasi- mbona mapadre wamekuwa mstari wa mbele kwenda mbele ya haki kwa maambukizi mapya ya ugonjwa wa kushindwa kupumua- pneumonia? Moshi January hii alikufa Pd Lewanga, Pd Victorin Riziki na huko Bukoba Pd Irenulis Mbahulira na wengine wengi tu wako mahospitalini, wengine wametoka. Kunanini? Sio Korona!?
Mapadre wako karibu na waumini kwa kila misa na hasa za mazishi hivyo ni rahisi kupata maambukizi.
 
Back
Top Bottom