TANZIA Paroko wa Mwananyamala, Padri Benedict Ndeyekiyo afariki dunia

TANZIA Paroko wa Mwananyamala, Padri Benedict Ndeyekiyo afariki dunia

Poleni! Sasa napata wasiwasi- mbona mapadre wamekuwa mstari wa mbele kwenda mbele ya haki kwa maambukizi mapya ya ugonjwa wa kushindwa kupumua- pneumonia? Moshi January hii alikufa Pd Lewanga, Pd Victorin Riziki na huko Bukoba Pd Irenulis Mbahulira na wengine wengi tu wako mahospitalini, wengine wametoka. Kunanini? Sio Korona!?
Mapadre wana contacts sana na waumini katika maeneo mbalimbali kama sanduku la maungamo, kukomunisha, ofisini mambo mbalimbali. Tuwaombee sana sana.
 
Shida yetu sahz watu wanataka kutangaza kila kifo, kifo kipo tuu, ila tusiogopeshane tukaja kufa kizembe kwa stress,
Chukua tahadhari korona inaua.

Shida ni kuwa kukereka kulikopo kufuatia tangazo lolote la kifo hata kama ugonjwa ni ule wenyewe ni kwa kiwango cha SGR.
 
Back
Top Bottom