Maji tiririka na sabuni vinahitajika sana.Mambo yameshaharibika.
Maji tiririka na sabuni vinahitajika sana.
Poleni! Sasa napata wasiwasi- mbona mapadre wamekuwa mstari wa mbele kwenda mbele ya haki kwa maambukizi mapya ya ugonjwa wa kushindwa kupumua- pneumonia?Shida yetu sahz watu wanataka ktangaza kila kifo, kifo kipo tuu, ila tusiogopeshane tukaja kufa kizembe kwa stress,
Chukua tahadhari korona inaua..
Mapadre wako karibu na waumini kwa kila misa na hasa za mazishi hivyo ni rahisi kupata maambukizi.Poleni! Sasa napata wasiwasi- mbona mapadre wamekuwa mstari wa mbele kwenda mbele ya haki kwa maambukizi mapya ya ugonjwa wa kushindwa kupumua- pneumonia? Moshi January hii alikufa Pd Lewanga, Pd Victorin Riziki na huko Bukoba Pd Irenulis Mbahulira na wengine wengi tu wako mahospitalini, wengine wametoka. Kunanini? Sio Korona!?
Mwananyamala ndio mitaa ya rafiki yangu mzee Mgaya pale CCM MwinyiJuma.Mambo yameshaharibika.
Madaktari na manesi je?Mapadre wako karibu na waumini kwa kila misa na hasa za mazishi hivyo ni rahisi kupata maambukizi.
Wanavaa gloves, mask na wana sanitize. At least wana tahadhari.Madaktari na manesi je?
Waziri wa afya ni nani?Hali sio nzuri.