Part 2: nimfanye kiumbe huyu.....

ladywho

Senior Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
107
Reaction score
49
Mh! Kama ninachoona hapa ni kweli bs kazi ipo... Kati ya wadada niliowaona ktk cm ya fisadi langu, 4 wako hapa nimeona walivyokuwa wamesaviwa ktk cm ndivo wanaappear hata hapa so the guy is JF member na anamix vidosho kwelikweli?! Nijiweke pembeni kuepusha mso....
 
Pole sana ladywho yatapita kama upepo.
 
ktk cm ya fisadi langu

duh! pole sana..nahisi kuna dalili mapenzi yamekwisha. ..finito...na kila mtu anakaa kwa faida yake binafsi..
 
majina tu dada...be sure b4 u take any actions!
 

usimwache kirahisi rahisi hivyo..... Fanya kaukachero kidogo. Use ur mind best
 
Fisadi na bado ni lako?!Baki nalo maana huwezi jua!
 

Mhhhhh! :A S 114:
 
Hivi hii Movie ina Part II....
I hope itakuwa na mwisho mzuri
 
Yes nadhani mie sikosekaniki hehe hehheh ooiiiii hahaha hahha tutabanana hapa hapa msalimie FISADI letu nami nikome kutoa namba ovyooo haha hahhaha
 
Mhhhhhhhhhh.................

kwenye part one The Boss uliwahi kusema kuwa some advise zinaonekana kama za watu ambao wako kwenye hiyo story. na hatimaye ladywho ka-admit kuwa some of JF lady members are in the list...na bila shaka nao walichangia kwenye part 1. your suspicion has been confirmed. angeweza kuwaonesha tungejonea what kind of advises we give each other and how much constructive/destructive those advises are given the fact that we are also players
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…