Part 2: Ubunifu utokanao na miti, magogo na mbao… Kazi za viwango

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Huu si ubunifu wala usanifu wa kubahatisha wala kukurupuka.. Kila mkono uliogusa mojawapo wa hizi kazi akili yake ilikuwa imetulia na roho ni nyeupe...
Huwezi kufanya hizi kazi kwa ufanisi huu kama rohoni mwako na kichwani mwako umejawa na stress za kila aina ... Na hata kununua pia😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…