Part II: Bado safari yangu ya kusaka utajiri wa nguvu za giza inaendelea

Status
Not open for further replies.
Kwa njia yoyote ?? Msizitizo , "by any means" . Kwa kuwa mambo ni siri nani atakuambia? Au nikuambie ukaue mtu mimi nitabeba hizo dhambi. Endelea kutafuta mwenyewe Ila ukikuta kibao - Fremanson ingia ndani ukaulize
 
Mbona sasa bariad mashariki ni kubwa, ni wapi haswa location, sehem inaitwaje au anaitwa nani, naomba details zaidi pm.
Hivyo vitu huwezi elekezwa kama unaenda Duka Fulani cha kufanya., Orodhesha Mikoa au miji inayosifika kama mitano tembelea maeneo hayo, Fanya mazoea na wananzengo watakuelekeza ,hizo sehemu huwezi zijua mitandaoni.
 
Dada tafuta mwanaume mwingine wa kumuonea huruma pengine atakuoa mana naona unahangaika na mimi sijui ndio staiki yenu mmeambiwa na manabii ya kupata waume.
Tayari nimeolewa.
Hata ingekuwa bado, siwezi kuja kukulilia wewe mwanga.


Ujumbe wangu ni ule ule,urudi kwa Mungu wako.
Fedha na dhahabu ni mali Yake.

Usiporudi basi jiandae kutangatanga hadi mwisho,,hupati kitu huko...
Muombe Mungu,fanya kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo nikupeleke lakini baafa ya hapo utaishi miaka 15 tu halafu unakufa kwenda kuwa msukule huko.
Uko tayari?
 
Matajiri wa.Bongo ndio hawasemi vyanzo vya utajiri wao.

Matajiri wakubwa 10 wa humu Duniani tunajua vyanzo vya utajiri wao.
 

wafia dini, walokole na wasabato huu uzi muupitie mbali....zingatieni tahadhari aliyotoa mleta mada. huyu mtu yupo serious na anachokihitaji...kadhamiria...hatanii...heshimuni hisia zake.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
kujua chanzo cha utajiri wao haimainishi kwamba the don't do dirty stuff to get/remain to the top. masuala ya utajiri yana maagano mengi ya siri.
Imani mkuu

Biashara ina mawili Tu. Demand na Supply. Zaidi ni timing yaani uwe na mtaji wakati sahihi wa Demand ama Supply.

Wabongo tumeaminishwa kwamba uchawi na Ulozi ndio utajiri. Amini nakuambia Babylonian ndio waasisi wa uchawi, Ulozi, miujiza ya kuongea na wafu etc. Utajiri wa Babylon haukutokana na Ulozi Bali kupora Mali za mataifa waliyoyashinda vitani.

Sasa Wale wanaamini nguvu za Giza ndio msingi wa kujilimbikizia Mali, nawaona hawana maarifa ya kutosha kuhusu Mali. Wanaoamini mizimu ndio itawapa Mali sina namna ya kuwasaidia zaidi ya kuwashauri wazame kidogo kwenye kanuni zilizoandikwa kwenye kitabu maarufu the richest man in Babylon. Ni hayo Tu.
 
Nilichogundua wewe ni mpumbavu na mjinga mkubwa tu hapa jukwaani ambae unataka kuwapumbaza watu hauna nia hyo kama unayo hapo juu umeshapewa area code ya kwenda mbn uendi, mama na baba ako ndio mungu wako wa duniani je upo tyr kuwaua??? Ukijibu hili nakuelekeza sehem uende.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…