Part II: Bado safari yangu ya kusaka utajiri wa nguvu za giza inaendelea

Part II: Bado safari yangu ya kusaka utajiri wa nguvu za giza inaendelea

Status
Not open for further replies.
Wengi wameshaniambia hivyo, sijui uzoeane na bodaboda n.k, jambo ambalo mimi naona kama unapoteza muda unaenda sehem uanze kuzunguka na kuuliza uliza kama mwehu, kumbuka hapo gharama unatumia, mim naamin ntapata kuelekezwa vyema hapa hapa, na kizuri jamii forums kuna sehemu ya private message , na hadi sasa naona mwanga kwa mbali.

Dereva boda wanajua siri nyingi sana kuhusu waganga, usiwadharau wanaona mengi wale
 
Yanayozungumzwa kati ya mtaalam wa jadi na mteja wake hua yanabaki baina yao, wewe third party huna mamlaka ya kuhoji ama kuuliza sababu hauhusiki na wala hutojua chochote na haitokusaidia kujua mana hauna sababu maalumu ya kujua. soma mada elewa acha papara na mhemko.
Mganga akikuambia uachame mdomo akuharishie mdomoni ikiwa ni moja ya sharti je uko tayari?
 


Halafu unashindana na mimi..mwanaume napambana, wewe unataka kua kiben 10 kwa majimama..kakojoe ulale! GFY.
kwahiyo umeshindwa kujua hiyo
Ni joke?
Haya nenda kwa waganga unakosema unapambana ila ukikwama uje nikusaidie wala sio kwa nia mbaya
 
Haya mambo ni siri Dinazarde..sitaweza ku share chochote, hata huyo magere aliyekuja humu na wa aina yake ni waongo wanatafuta kuuza vitabu wapate kuishi ..mjini hapa! Hakuna tajiri atakuambia siri ya utajiri wake, labda aamue mwenyewe kukusaidia kukuonesha njia alizotumia haswa za dini yangu ya satanism.
Ata Bill Gates aliwai nukuliwa na mwandishi wa habari kuwa utajiri wangu ni siri yangu namna nilivyoupata
 
Naelewa mkuu
Nakutakia kila la kheri!

Ila huku mitandaoni ni either hawapo/ hawana muda wakusoma na wakisoma hawatajibu watakupuuza. Maoni yangu ni:-

'Ukitaka kunukia kaa karibu na uaridi', wafate field kaa nao karibu waonyeshe uaminifu uliotukuka usiokuwa na hata chembe ya shaka, jitolee kwa hali na mali katika majukumu watakayokupatia. Muda wote huo unakua ni mtihani kwako na ukifuzu utapenyezewa 'siri' na itakusaidia kwakua utakua ushakuwa mkomavu katika biashara ama sekta husika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom