Part II: Bado safari yangu ya kusaka utajiri wa nguvu za giza inaendelea

Status
Not open for further replies.

Dereva boda wanajua siri nyingi sana kuhusu waganga, usiwadharau wanaona mengi wale
 
Mganga akikuambia uachame mdomo akuharishie mdomoni ikiwa ni moja ya sharti je uko tayari?
 
kwahiyo umeshindwa kujua hiyo
Ni joke?
Haya nenda kwa waganga unakosema unapambana ila ukikwama uje nikusaidie wala sio kwa nia mbaya
 
Ata Bill Gates aliwai nukuliwa na mwandishi wa habari kuwa utajiri wangu ni siri yangu namna nilivyoupata
 
Naelewa mkuu
Nakutakia kila la kheri!

Ila huku mitandaoni ni either hawapo/ hawana muda wakusoma na wakisoma hawatajibu watakupuuza. Maoni yangu ni:-

'Ukitaka kunukia kaa karibu na uaridi', wafate field kaa nao karibu waonyeshe uaminifu uliotukuka usiokuwa na hata chembe ya shaka, jitolee kwa hali na mali katika majukumu watakayokupatia. Muda wote huo unakua ni mtihani kwako na ukifuzu utapenyezewa 'siri' na itakusaidia kwakua utakua ushakuwa mkomavu katika biashara ama sekta husika.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…