PART TIME JOB - ACCOUNTANT Kwa msichana aliyeko Arusha

PART TIME JOB - ACCOUNTANT Kwa msichana aliyeko Arusha

ngurati

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
221
Reaction score
240
Kuna part time job kwenye shirika moja la kimarekani hapa Arusha, wanahitaji mhasibu lakini lazima awe msichana. NGO yenyewe inasupport wasichana. Tafadhali ni-PM.
 
Unyanyapaa wa kijinsia! Mi nipo Arusha lkn ni mwanaume hamuwezi kunifikiria? Nina kila kigezo cha muhasibu bora, nina uzoefu wa kutosha wa mashirika binafsi!
 
Unyanyapaa wa kijinsia kweli na me pia wa kiume jamni vp nije au ndio hivo mnataka kuchakachuaaa.......
 
Kuna part time job kwenye shirika moja la kimarekani hapa Arusha, wanahitaji mhasibu lakini lazima awe msichana. NGO yenyewe inasupport wasichana. Tafadhali ni-PM.

Hellow,mm nipo arusha n according to your thread i do qualify. nimeshindwa kuku PM naomba unitext no yangu ni 0753388819.
 
Hellow,mm nipo arusha n according to your thread i do qualify. nimeshindwa kuku PM naomba unitext no yangu ni 0753388819.
Karibu na kwetu, umoja wa JF Arusha, kila la kheri katika kupata kazi hiyo.
 
sasa mnataka mhasibu afanye kazi au mnataka mtu wa kuzaa watoto? mbna binfsi sioni logic awe wa kike il nini ? yani elimu nao in jinsia. ths z childish vacancy. kuna kiongozi mmoja alishawahi kusema ukila lzm uliwe nadhani mnataka kutimiza hilo.
 
Usije ukawa unataka house girl. Ebu sema ukweli.
 
Kuna kazi zaidi ya kazi za kiuhasibu atakazotakiwa kuzifanya eeh?
 
hakuna kazi hapo wizi mtupu...mwanamke ili iweje...???? wizi mtupu....:lol::spy::embarassed2:
 
Wakuu amesema ni shirika lisilo la kiserikali na linasupport wanawake zaidi na kwa masharti ya donors may be not allowed kuajiri wanaume. mim naamin mashirika kama hayo yapo. mfano world vision wafanyakazi walio wengi ni wanawake :spy:

hakuna kazi hapo wizi mtupu...mwanamke ili iweje...???? wizi mtupu....:lol::spy::embarassed2:
 
:juggle:mkuu naona uko ki umoja zaidi...je sisi pia tunaweza kukaribishwa tukiweka number zetu za simu hapa kama alivyofanya huyu mrembo? :A S-coffee:
Karibu na kwetu, umoja wa JF Arusha, kila la kheri katika kupata kazi hiyo.
 
:juggle:mkuu naona uko ki umoja zaidi...je sisi pia tunaweza kukaribishwa tukiweka number zetu za simu hapa kama alivyofanya huyu mrembo? :A S-coffee:
Kama upo Arusha hakuna pingamizi mkuu, karibu.
 
hellow,mm nipo arusha n according to your thread i do qualify. Nimeshindwa kuku pm naomba unitext no yangu ni 0753388819.

mmmh! 2nasubiri majibu yako binti wa mkonyi
 
Back
Top Bottom