Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna part time job kwenye shirika moja la kimarekani hapa Arusha, wanahitaji mhasibu lakini lazima awe msichana. NGO yenyewe inasupport wasichana. Tafadhali ni-PM.
Karibu na kwetu, umoja wa JF Arusha, kila la kheri katika kupata kazi hiyo.Hellow,mm nipo arusha n according to your thread i do qualify. nimeshindwa kuku PM naomba unitext no yangu ni 0753388819.
Nitafuteni basi
hakuna kazi hapo wizi mtupu...mwanamke ili iweje...???? wizi mtupu....:lol::spy::embarassed2:
Karibu na kwetu, umoja wa JF Arusha, kila la kheri katika kupata kazi hiyo.
Kama upo Arusha hakuna pingamizi mkuu, karibu.:juggle:mkuu naona uko ki umoja zaidi...je sisi pia tunaweza kukaribishwa tukiweka number zetu za simu hapa kama alivyofanya huyu mrembo? :A S-coffee:
hellow,mm nipo arusha n according to your thread i do qualify. Nimeshindwa kuku pm naomba unitext no yangu ni 0753388819.