Part-time job Arusha

Part-time job Arusha

Pretty-baby

Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
56
Reaction score
7
Habarini wana jamii forum ,kwa mwenye infomation za part time job of Accountant arusha aniambie kwni ninatafuta part time ya kazi ya wasibu mkoa wa Arusha !nina Advance diploma ya Accounting na module E pass! Asanteni !
 
kama unataka mbali na arusha sawa kwani huku moshi kuna Part time kwenye NGO flani hivi
 
Nimejua wewe ndo unasaka vichwa vya kuipiga arif!
 
hebu niongee na jamaa angu NGO moja hvi ka wana vacancy kabisa.
 
MKUBWA WA MOSHI MI PIA NIKO MOSHI NIELEKEZE NI NGO IPI HIYO KUNA PART TIME KAKA NINA BA(ED) history &P.S nitafute kaka 0767227521
 
I am just admiring the way you guys are helping each other and this is because information is power........ kwa lolote ntajitahidi pia kurusha humu coz nobody knows about tomorrow..... Blessed people
 
MKUBWA WA MOSHI MI PIA NIKO MOSHI NIELEKEZE NI NGO IPI HIYO KUNA PART TIME KAKA NINA BA(ED) history &P.S nitafute kaka 0767227521

mkuu mbona unadandia gari kwa mbele?
 
part time? ebu pita apo serena acha cv yako full na barua.
wapo karibu na novel tel barabra ya kuelekea arumeru halmashauri, ulizia maeneo hayo, jiandae kuwa na referee wa nguvu.
 
Back
Top Bottom