Part time or full time degree

kap2ya

Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
22
Reaction score
3
Wadau mko poa

Nahitaji msaada wa mawazo juu ya hili swali linalonisumbua kichwani.. Nimemaliza diploma mwaka huu na kuna sehemu najishikiza kidogo ss nataka niendeleee na masomo yangu ya degree
1/ je nikiwa part time itafaa zaidi ili niweze kujikimu au nisome full
2/ipi tofauti Kati ya part time or full time kwenye ajira
3/kwenye cheti wanaandika kama nimemaliza nikiwa full au part time
 
Diploma holder??? hujui majibu ya maswali yako? Kweli BRN ni nouma

Ndio maana ya kuomba ushauri wa mawazo...... Binadamu kuomba ushauri kwa waliokuwa mbele yako kabla ya kufanya kitu ni sawa!
 
Una Diploma ya nn na wataka soma nn kwenye Chuo kipi? Nipe majibu ndugu yangu nikushauri
 
Mwisho wa siku hawaaminiki kama ulisoma fully time au evening program,wote mtapewa vyeti hivyo hivyo,soma tu kulingana na nafasi yako
 
Hamna tofauti katika kutunikiwa vyeti,ww soma kutokana na nafasi yako wala usihofu mkuu.
 
Una Diploma ya nn na wataka soma nn kwenye Chuo kipi? Nipe majibu ndugu yangu nikushauri

Nina diploma ya account na ninataka nikasome bachelor ya account au procurement Tia part time huku nafanya kazi
 
Nina diploma ya account na ninataka nikasome bachelor ya account au procurement Tia part time huku nafanya kazi

Piga part time Ndugu yangu...nothing differs to full time except muda wa kuingia na kutoka darasana...vyeti, walimu, modules, chuo etc yote ni yale yale tu
 
Piga part time Ndugu yangu...nothing differs to full time except muda wa kuingia na kutoka darasana...vyeti, walimu, modules, chuo etc yote ni yale yale tu

Nashukuru kwa ushauri na ninaufanyia kazi
 
Huo mda ungeutumia kufanya mitihani ya cpa au cima au baadhi ya accounting packages ungefanya la maana kuliko hiyo degree kwa sababu professionally haikuongezei lolote. Ni mtazamo tu
 
Huo mda ungeutumia kufanya mitihani ya cpa au cima au baadhi ya accounting packages ungefanya la maana kuliko hiyo degree kwa sababu professionally haikuongezei lolote. Ni mtazamo tu

Acc package nishapiga labda cpa ndio bado ila nahisi kama nikifanikiwa kuchukua degree ninaweza kuisoma pia
 
packages za accounts hauwezi kuzimaliza ni nyingi mno. ulivyoandika inaonekana umepiga moja.
 
packages za accounts hauwezi kuzimaliza ni nyingi mno. ulivyoandika inaonekana umepiga moja.[/QUOTE

Sasa si inawezekana nisisome degree kama nikikalia sana haya ma acc package
 
any way ni vizuri. my take. fanya cpa kwanza. lakini wewe mwamuzi wa maisha yako, ukiona bila degree umepungukiwa basi kaisotee. all the best rafiki.
 
any way ni vizuri. my take. fanya cpa kwanza. lakini wewe mwamuzi wa maisha yako, ukiona bila degree umepungukiwa basi kaisotee. all the best rafiki.

Nashukuru kwa ushauri wako nitayafanyia kazi baadhi ya mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…