Partner Anahitajika Katika Mradi Wa Mafunzo Ya Sabuni Papo Kwa Papo

Partner Anahitajika Katika Mradi Wa Mafunzo Ya Sabuni Papo Kwa Papo

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
soap training.png
Certificates.PNG

WhatsApp Image 2021-09-14 at 23.41.57.jpeg
WhatsApp Image 2021-09-14 at 23.36.33.jpeg
WhatsApp Image 2021-09-14 at 23.34.45.jpeg
WhatsApp Image 2021-09-14 at 23.31.21.jpeg
WhatsApp Image 2021-09-16 at 23.41.21.jpeg

Asilia Natural Cosmetics tuna uzoefu wa zaidi ya miaka 5 katika kuendesha mafunzo kwa vitendo ya bidhaa za nyumbani. Na sasa tumekuja na formula rahisi ya kuwezesha uzalishaji wa sabuni ya kipande papo kwa papo bila kusubiri masaa 24 wala kutumia jiko, wala kutumia mashine.

Hivyo, tunahitaji Partner wa kugharamia mafunzo ikiwemo eneo, matangazo na materials popote Tanzania
Wasiliana nasi kwa : 0713-039 875 kwa maelezo zaidi

WhatsApp Image 2021-09-14 at 23.36.33.jpeg

WhatsApp Image 2021-09-14 at 23.41.57.jpeg

WhatsApp Image 2021-09-14 at 23.41.57.jpeg
 
Back
Top Bottom