P Pohjois Haaga Member Joined Jun 29, 2015 Posts 47 Reaction score 16 Jul 3, 2015 #1 Natafuta partner kujenga ukumbi wa sherehe, ardhi tayari ipo katika eneo zuri sana.
S shaurimbaya JF-Expert Member Joined Oct 3, 2013 Posts 1,915 Reaction score 2,329 Jul 3, 2015 #2 ungeweka detailz za kutosha ili umvutie mwekezeji unayemtafuta. size ya kiwanja, eneo kilipo, hatimiliki za kiwanja zikoje, ni cha kwako au cha familia from urithi, umbali wake na main road ukoje, etc etc
ungeweka detailz za kutosha ili umvutie mwekezeji unayemtafuta. size ya kiwanja, eneo kilipo, hatimiliki za kiwanja zikoje, ni cha kwako au cha familia from urithi, umbali wake na main road ukoje, etc etc
P Pohjois Haaga Member Joined Jun 29, 2015 Posts 47 Reaction score 16 Jul 3, 2015 Thread starter #3 Size ya kiwanja ni mita za mraba 10,000, kiwanja kina hati na mimi ndio mwenye hati, kiko Boko Ununio kutoka main road (barabara ya bagamoyo ni kama mita 600 hivi). Kwa yo yote mwenye nia tafadhari ni PM kwa maelekezo Zaidi.
Size ya kiwanja ni mita za mraba 10,000, kiwanja kina hati na mimi ndio mwenye hati, kiko Boko Ununio kutoka main road (barabara ya bagamoyo ni kama mita 600 hivi). Kwa yo yote mwenye nia tafadhari ni PM kwa maelekezo Zaidi.