Partner Biashara ya Ukumbi wa Sherehe

Partner Biashara ya Ukumbi wa Sherehe

ungeweka detailz za kutosha ili umvutie mwekezeji unayemtafuta.

size ya kiwanja, eneo kilipo, hatimiliki za kiwanja zikoje, ni cha kwako au cha familia from urithi, umbali wake na main road ukoje, etc etc
 
Size ya kiwanja ni mita za mraba 10,000, kiwanja kina hati na mimi ndio mwenye hati, kiko Boko Ununio kutoka main road (barabara ya bagamoyo ni kama mita 600 hivi). Kwa yo yote mwenye nia tafadhari ni PM kwa maelekezo Zaidi.
 
Back
Top Bottom