C CES Member Joined May 12, 2021 Posts 32 Reaction score 24 Nov 21, 2021 #1 Ninatafuta partner. Kulima naye Pamba kwa ajili ya kuuza. Tunawekeza pamoja baadae tunatafuta soko pamoja, lakini soko lipo. Kama tutaendelea vizuri, tutaingiza mazao mengine. Nitumie whatsapp yako
Ninatafuta partner. Kulima naye Pamba kwa ajili ya kuuza. Tunawekeza pamoja baadae tunatafuta soko pamoja, lakini soko lipo. Kama tutaendelea vizuri, tutaingiza mazao mengine. Nitumie whatsapp yako
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 21, 2021 #2 Kila la kheri.. Ngoja waje kukupa muongozo...
Mr simple M JF-Expert Member Joined Sep 18, 2020 Posts 2,202 Reaction score 4,653 Nov 24, 2021 #3 Upo sehem gani na partner mwenyw vigezo vp
C CES Member Joined May 12, 2021 Posts 32 Reaction score 24 Nov 24, 2021 Thread starter #4 Sasa niko nje kujifunza kuhusu bei za drop irrigation. Partner ajue kuhusu kilimo na namna ya kutafuta soko
Sasa niko nje kujifunza kuhusu bei za drop irrigation. Partner ajue kuhusu kilimo na namna ya kutafuta soko
BuliQ Member Joined Sep 25, 2018 Posts 5 Reaction score 4 Nov 27, 2021 #5 CES said: Sasa niko nje kujifunza kuhusu bei za drop irrigation. Partner ajue kuhusu kilimo na namna ya kutafuta soko Click to expand... Soko la pamba lipo, pamba naifaham vzuri Tupe vigezo vya partner unaemhitaji kinagaubaga Ili tufaham tunafit au lah
CES said: Sasa niko nje kujifunza kuhusu bei za drop irrigation. Partner ajue kuhusu kilimo na namna ya kutafuta soko Click to expand... Soko la pamba lipo, pamba naifaham vzuri Tupe vigezo vya partner unaemhitaji kinagaubaga Ili tufaham tunafit au lah