Partner kwenye Pamba

Partner kwenye Pamba

CES

Member
Joined
May 12, 2021
Posts
32
Reaction score
24
Ninatafuta partner. Kulima naye Pamba kwa ajili ya kuuza. Tunawekeza pamoja baadae tunatafuta soko pamoja, lakini soko lipo.
Kama tutaendelea vizuri, tutaingiza mazao mengine.
Nitumie whatsapp yako
 
Sasa niko nje kujifunza kuhusu bei za drop irrigation. Partner ajue kuhusu kilimo na namna ya kutafuta soko
 
Sasa niko nje kujifunza kuhusu bei za drop irrigation. Partner ajue kuhusu kilimo na namna ya kutafuta soko
Soko la pamba lipo, pamba naifaham vzuri
Tupe vigezo vya partner unaemhitaji kinagaubaga Ili tufaham tunafit au lah
 
Back
Top Bottom