Partner/Mbia wa Biashara - Sales Agents

Partner/Mbia wa Biashara - Sales Agents

Habari ya Asubuhi.

Nina kazi inayohitaji watu wengi wa kufanya mauzo, ninatafuta watu binasfi au kampuni za kushirikiana nazo, dhamira ni kufika Tanzania nzima hivyo ningependa kupata washirika wa biashara kutoka pande zote za Tanzania.

Kwa high level, biashara itakua na mfumo huu.
1. Kila sale/mauzo ambayo mtu atafanya atalipwa kati ya tsh 20,000 hadi tsh 70,000 kutegemea na ukubwa wa mteja aliyemleta.
2. Kila mwezi, tutamlipa partner asilimia fulani ya mapato yatokanayo na mteja aliyemleta, tunategemea kwamba, baada ya mauzo, partner/mbia atashiriki kwa namna moja ama nyingine kumpa mteja support.

Kama kuna mtu ana interest anipigie kwenye 0754 730813
Elezea biashara gani ili watu tushawishike
 
Elezea biashara gani ili watu tushawishike
Hello Josephat,

niambie kitu gani exactly ungependa kujua, kama ni kitu ninachoweza kuandika hapa nitafanya hivyo kama sio kitu nitakachoweza kuandika basi itakua unfortunate.
 
Hello Josephat,

niambie kitu gani exactly ungependa kujua, kama ni kitu ninachoweza kuandika hapa nitafanya hivyo kama sio kitu nitakachoweza kuandika basi itakua unfortunate.
Kama upo serious na unahitaji watu wengi wa mauzo basi hata in brief ungeelezea ni biashara inayohusisha nini! Watu wanaweza kuwa interested, Sasa umeishia kututamanisha tu utalipwa kati ya 20 na 70! Tuambie au ni ile biashara ya ukileta mtu unakua boss. Are you Qnet?
 
Ninajua kwamba sijaandika kila kitu na siwezi kuandika kila kitu. Nimeweka high level info ili wenye interest waniambie tuongee zaidi, wengine wameniandikia pembeni na wengine wamenipigia tumeongea,.

In case iko na interest nicheck pembeni au call me kwa maelezo zaidi, ukipata maelezo utaamua kama ni kitu ungependa kufanya ama hapana

Labda niongeze tu kwamba, katika hii process yote hakuna siku nitakuambia weka hela, panda mbengu, nunua bidhaa na vitu kama hivyo, this should be enough kukupa picha.
 
Back
Top Bottom