Habari,
Kama imeandikwa. Ningetaka kuunda kama society itakayohusu sekta ya ujenzi.
Kwa hiyo ninahitaji partners kwa ajili ya:
- Kupandisha mtaji
- Kutafuta viwanja
- Kutafuta wateja
- Kuajiri wafanyakazi
- Kufanya taratibu zote za serikali.
Kama uko serious na una interest na sekta hiyo nipe messeji
Tutazungumza kuhusu mtaji wa kila mmoja kwa MP