Kididimo JF-Expert Member Joined Sep 20, 2016 Posts 4,153 Reaction score 3,800 Apr 15, 2017 #1 Wana JF, ninaamini leo,wengi wetu tumefanya shopping na kugawa kadi kwa marafiki kwa ajili ya Pasaka. Ninapenda kuwaalika Jf members wote kujumuika na familia yangu,tusherehekee pamoja kupitia uzi huu! Karibuni sana.
Wana JF, ninaamini leo,wengi wetu tumefanya shopping na kugawa kadi kwa marafiki kwa ajili ya Pasaka. Ninapenda kuwaalika Jf members wote kujumuika na familia yangu,tusherehekee pamoja kupitia uzi huu! Karibuni sana.