Pasaka hii tukumbuke kuwasaidia wahitaji, yatima na wajane

Mr Pixel3a

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2021
Posts
5,710
Reaction score
8,579
PASAKA ni kuyaishi maisha mapya ndani ya kristo yaani utakatifu, wokovu, utuwema, fadhili upendo na matendo mema.

Maisha ya Yesu hapa duniani yalikuwa yakutenda mema.

Hivyo Basi Tuuishi Ukristo kuwasaidia wengine (mpende jirani yako) Yatima, wajane na wasiojiweza kwa namna moja ama nyingine.
 
Jana nimeona tbc wanasimulia maswaibu ya Jamaa aliyekimbiwa na Mke na kutelekezewa Watoto wadogo 2 huku hana uwezo wa kufanya kazi yeyote shida ikiwa ni ugonjwa wa Moyo kiasi kwamba tumbo limejaa mda wote,huruma sana.

Yaani si mzazi wake Wala Mke waliokuwa wako tayari kumsaidia ,Sasa badala hata wataje namba wakaishia hivyo hivyo Sasa wanategemea tutamfikiaje sie wenye vitu vidogo vidogo?

Mwisho hivi kiukweli inauma ikiwa watu wanapiga mabilioni ya umma huko harafu serikali inashindwa kuwahudumia watu hao wenye magonjwa makubwa makubwa ,walemavu na wazee na hapo hapo Ina kitengo Cha ustawi wa jamii nk..
 
Na kwa muktadha huo ndio maana Trump alisema wazi kuwa ngozi nyeusi hatuna uwezo was kujiongoza ni vema tukatawaliwa tena...UBINAFSI uliopitiliza umewajaa waliopewa madaraka, they don't care!
 
Back
Top Bottom