KABIDO
Member
- Oct 26, 2015
- 74
- 117
Dem: My huby...
Mimi : Yes my love...
Dem: Nakupenda... Mimi: Hata mimi najua... Dem: Baby hauna nguo za kufua?
Mimi: Ninazo mpenzi...
Dem: Nakuja hubby ila naomba
uniandalie na hela ya shopping kwa
ajili ya Pasaka!
Mimi : Sawa... => Nikatoka nikakusanya nguo za
masela mtaa mzima, kaja kazikuta nje
nikamwambia ngoja nifuate sabuni,
Nimerudi sijamkuta na simu hapokei
nadhani Kaenda kuazima mabeseni ya
kufulia...!!!! Akili yangu naijua mwenyewe...!