Pasaka itakuwa tarehe ngapi

Pasaka itakuwa tarehe ngapi

marehem x

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2022
Posts
513
Reaction score
792
Wakuu nipo gizani.

Pasaka ni siku gani na tarehe ngapi?
 
Nadhani mkeka utatoka kabla au baada naomba kujua tarehe
 
Mkuu pasaka inakuwaga ni siku ya jumapili mara baada ya kumaliza mfungo wa siku 40 za kwaresma. Tarehe inategemea na mwaka ila mara nyingi inakuwaga mwezi wa nne. Sasa sijui unataka kujua tarehe pasaka ya mwaka gani ndugu?
 
Pasaka ilishapita..Toka huko gizani kuna mbu wakutosha...Malaria ni hatari kwa afya ya akili yako 😂😂😂
 
Kasema mwezi wa 7
FtHpP9eXoAkbBR0.jpeg.jpg
 
December, 2035
Leo umevurugwa Sana .
Sipati picha waliko hawa Wazalendo wawili huwa hawaamini kabisa kudai haki kwa maneno matamu brazaj na Tindo ..

😂😂😂😂Kuna mtu hapo huwa anasema bora tumwagane damu ili tuanze upya
 
Back
Top Bottom